Je mke wangu ni mjamzito?

layburn

New Member
Joined
Apr 29, 2019
Posts
1
Reaction score
1
215/5000



Salaam wote 🙂

Mimi na mke wangu tunajaribu kuwa na mtoto na nilishangaa ikiwa una vidokezo vya mimba na maambukizi mafanikio? Tumetumia kihesabu cha ovulation (hapa) lakini kuna kitu kingine tunachopaswa kufanya?
 
Mnapaswa kujijua kama mko vizuri, namaanisha mume ujijue kama mbegu zako zina uwezo wa kufikia yai na mke hana tatizo lolote lile kwenye viungo vyake vya uzazi
 
Kwanza kabisa mna muda gani mnajaribu kupata mtoto?
Pili inabidi ujue cycle ya mke wako ni siku ngapi..maana huwa zina range kuanzia siku 21 hadi 31..
Ukishajua siku za hatari za mke wako na ukaanza kushiriki tendo la ndoa katika siku hizo kwa miezi kama 6 bila mafanikio .
Inabidi uende hosptali kucheki kama kuna tatizo kwenye sperms zako au kwenye mirija ya mkeo..

Pia kuna wanawake wengine cycle yao iko abnormal kidogo yaani wao wanatoa yai wakiwa kwenye siku zao..sasa kujua hayo yote inabidi uende hospital
 
215/5000



Salaam wote 🙂

Mimi na mke wangu tunajaribu kuwa na mtoto na nilishangaa ikiwa una vidokezo vya mimba na maambukizi mafanikio? Tumetumia kihesabu cha ovulation (hapa) lakini kuna kitu kingine tunachopaswa kufanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…