Je, Mkeo anapaswa kufahamu madeni yako yote?

Je, Mkeo anapaswa kufahamu madeni yako yote?

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Mm binafsi Kuna madeni ambayo nadaiwa ni zaidi ya laki 2 kwa watu tofauti Ila sitaki MKE wangu ajue hata Kama nilifanya matumizi ya ndani.

Je, Kuna hasara, madhara au faida gani kumshirikisha mkeo kwenye madeni yako?
 
Mm binafsi Kuna madeni ambayo nadaiwa ni zaidi ya laki 2 kwa watu tofauti Ila sitaki MKE wangu ajue hata Kama nilifanya matumizi ya ndani.

Je? Kuna hasara ,madhara au faida gani kumshirikisha mkeo kwenye madeni yako?
Tafta hela kijana ,,
 
Mm nachojua mkuu mdaiwa afungwii endelea kukopaa deni lifike hata m 5
 
Ni mkeo? Ninyi ni mwili mmoja! Mjulishe tu!
Akutie moyo!
Akupe ushauri!

Ajue kuwa baadhi ya matumizi mengine ya ndani ni mkopo ili awe na matumizi mazuri!

Kama ni mwanamke anayejielewa basi akuweke kwenye Dua, sala na maombi.

Ila Mimi kama msemaji wa CHAMA Cha Majobless nakutia moyo endelea kupambana.

Kuna watu wanakopa ili kumlewesha Malaya ila kama wewe unakopa kwa ajili ya familia mkono uwende kinywani ... Much respect bro! Mungu akufungilie milango ya fedha.

Katiba ya Chama Cha Majobless inakataza Kuhonga ni dhambi kubwa kwa majobless
 
Mm binafsi Kuna madeni ambayo nadaiwa ni zaidi ya laki 2 kwa watu tofauti Ila sitaki MKE wangu ajue hata Kama nilifanya matumizi ya ndani.

Je? Kuna hasara ,madhara au faida gani kumshirikisha mkeo kwenye madeni yako?
gentleman,
laki mbili?

ni muhimu zaidi kusubiri hadi uje ukamatwe na kuwekwa ndani mahabusu 🐒
 
Mm binafsi Kuna madeni ambayo nadaiwa ni zaidi ya laki 2 kwa watu tofauti Ila sitaki MKE wangu ajue hata Kama nilifanya matumizi ya ndani.

Je? Kuna hasara ,madhara au faida gani kumshirikisha mkeo kwenye madeni yako?
Laki mbili usimwambie subiri angalau ifike 2m ndio umwambie.
 
Hizi ndoa bana Sasa mmeaona nyie si kitu kimoja?? Au hizo hela ulifanyia jambo gan asilolijua mkeo? Kama ni Hali mweleze Ili mambo yakifika shingon mjue mnasaidianaje
 
Mwambie siku ya tukio.....

1738525256439.png
 
Hapana atajiju 🤣🤣🤣
Aniambie kama ilikuwa ya faida nami nimeona matunda kuyafaidi..

Na iwe kibiashara tu... akikwama naweza saidia ushauri na mengineyo tukae kwa Amani

Zooo haijawahi tokea..

Zaidi ya hapo atajiju asinambie kabisaaa.. Sitaki kufahamu.. Kusaidia uzembe ukitokea.. 😜
 
Sometimes you need to do things as a man you don't need to go through everything with your wife
 
Kama ana njaa danganya kabisa unadaiwa madeni kibao, akitaka pasu kwa pasu akupe ahueni
 
Wanasema problem shared is a problem halved. Hii imewasaidia sana wanawake ku manage stress za madeni yao ya vikoba😆😆😆 siku ya marejesho nyumba nzima mtakuwa na stress sababu mama ana stress. So ili na yeye akusaidie kubeba hiyo stress mwambie tu
 
Back
Top Bottom