Je, mkojo huambatana na bomu? Ufafanuzi wa kisayansi

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
6,373
Reaction score
16,073
Kuna ile hali umejikalia zako mara unahisi kwenda kutoa haja ndogo.

Unafika unamaliza haja lakini unabanwa na bomu la hewa chafu unaliachia bwaaaaa...

Kuna wakati mko wengi kwenye choo cha stendi unamaliza kutoa haja halafu bomu linabana mno unajikuta unaliachia kiwizi wizi bana.

Nimetafakari sana nikaenda mpaka kwa baba paroko kupata ushauri naona anajiuma uma tu.

Hili bomu la hewa chafu linatokana na nini wakati wa kukojoa? Mbona nikipizi sibomoki?

Je, hili ni swala la kisayansi?
 
😁😁😁😁 BICHWA KOMWE - once again
 
Umeshalewa njimbo kichaa wewe!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
NB;Chunga usijinyee kwenye sarawili choo cha stendi.
 
🀣🀣🀣
 
Ko misuli inakuwa imetepeta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…