Je, mkojo huondoa stress za mapenzi tu?

princess ariana

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Posts
9,245
Reaction score
18,347
Habari jamani,

Hivi mkojo unatumika kusahaulisha stress za mapenzi tu? Au hata stress zingine?!

Kama mfano mtu kafiwa gafla ameumia sana mpaka inakaua ngumu kujizuia, unaweza mpa mkojo wake akanywa akanuiza akasahau?
 
habari jamani;
hivi mkojo unatumika kusahaulisha stress za mapenzi tu?
au hata stress zingine?! kama mfano mtu kafiwa gafla ameumia sana mpaka inakaua ngumu kujizuia
unaweza mpa mkojo wake akanywa akanuiza akasahau?
Hebu kwanza tuelezee huo mkojo una nini cha kufanya mtu asahau?
 
Reactions: dtj
Hebu kwanza tuelezee huo mkojo una nini cha kufanya mtu asahau?
kwa mfano una stress za mapenzi
umeachwa au mwanammke anakuzingua au mwanaume
sasa unataka kumsahau haraka maana anakunyima raha..
unakojoa kwenye kikopo kdg
halafu unakunywa kidogo
huku unasema labda " kwanzia leo aisha nikusahau, sikutaki tena nikusahau kabisaa"
basi kwanzia hapo utamsahau..
kesho yake utaamka umeshaanza kumsahau
 
Hizi habari za mkojo zipo sana mjini Insta ila mahusiano ya mkojo na kusahau ndio hayaeleweki yawezekana imekaa kiimani zaidi yawezekana unapona/unasahau kwa imani yako tu na si mkojo kama kikombe cha Ambilikile
 
Hizi habari za mkojo zipo sana mjini Insta ila mahusiano ya mkojo na kusahau ndio hayaeleweki yawezekana imekaa kiimani zaidi yawezekana unapona/unasahau kwa imani yako tu na si mkojo kama kikombe cha Ambilikile
nasikia kuna na mishumaa
 
Hebu fanya hivyo kwanza wewe tuone kama kweli utanisahai mimi.
 
mishumaa sijui kazi yake..
nenda kwq usipojipanga[emoji23][emoji23]
[emoji74] [emoji74] ile mitaa huwa napita ila huwa nakuwa ndani ya basi la mwendokasi ntafuatilia ila naamini haya masuala yako kiimani zaidi kama imani yako iko huko basi mkojo na mshumaa vyote vinaweza kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…