Je, Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Chalinze, Kuruthum Amour Sadik hajaapishwa?

Kama nikweli!!, Bas uchawi upo ndugu zangu
 
Acha tu, baba na familia wameshika nchi na kuiendesha kwa remote control, wengine tunaangaza macho tu, kweli kutesa kwa zamu..
 
Na wachomekeaji ni kina Nani? Tuwajue waumbuke, wanatukosesha fursa hao labda ingekuwa ni nafasi zetu lkn tunazikosa kwa sababu ya wachomekeaji.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nimemwona, nitamtembelea ofisini kwake tuyajenge.
Asante kwa update.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…