Je, Mkuu wa Wilaya ya Morogoro ataweza kusimamia vita ya ukimwi, mimba mashuleni, heshima kwa wanawake na kuitaka jamii iishi kwa maadili?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nimeona video mtandaoni ya DC Morogoro akiwa kalewa chakari huku anashikashika sehemu za siri za binti/mwanamke.

Inafahamika kwamba huyu DC ameoa, na aliyekuwa naye akimpapasa uchi sio mkewe.

Huyu ndio anatakiwa kusimamia kampeni dhidi ya ukimwi, mimba mashuleni,maadili katika jamii ya morogoro, kuzuia ulevi uliokithiri, na kuheshimu utu wa mwanamke.

Je, ataweza?
 
Huwez kumpangia mtu matumizi ya sehem zake za Siri
 
amtafute gigymoney wacheze kikang kangi
Yaani mtu anashika kibumb,karekodiwa, anapata nafasi ya UDC? Anaonekana anatia madole sehemu za siri za mwanamke?

Naona hata wanaharakati wa wanawake hawalioni hili, ila wakikosa madaraka ndio midomo juu kama bata
 
Nimeona video mtandaoni ya DC Morogoro akiwa kalewa chakari huku anashikashika sehemu za siri za binti/mwanamke.

Inafahamika kwamba huyu DC ameoa, na aliyekuwa naye akimpapasa uchi sio mkewe.

Huyu ndio anatakiwa kusimamia kampeni dhidi ya ukimwi, mimba mashuleni,maadili katika jamii ya morogoro, kuzuia ulevi uliokithiri, na kuheshimu utu wa mwanamke

Je? Ataweza?
Ukishamuona mtu anaamua kuuza utu wake ili apate pesa basi mdharau tu
 
Nimeona video mtandaoni ya DC Morogoro akiwa kalewa chakari huku anashikashika sehemu za siri za binti/mwanamke.

Inafahamika kwamba huyu DC ameoa, na aliyekuwa naye akimpapasa uchi sio mkewe.

Huyu ndio anatakiwa kusimamia kampeni dhidi ya ukimwi, mimba mashuleni,maadili katika jamii ya morogoro, kuzuia ulevi uliokithiri, na kuheshimu utu wa mwanamke

Je? Ataweza?
Yeye ni K-vant na vidosho
 
Back
Top Bottom