Morogoro wana sehemu wamemkosea Mungu kwa muda mrefu sasa.
Haiwezekani mkoa niwamigogoro tu kutwa kucha. Huyo mkuu wa mkoa waliyepelekewa ninawapa pole sana. Hakuna nafuu watakayoiona kwenye ardhi. Wenye hela washashinda tena washangilie. Wanyonge kwisha kazi yao.
Waandishi wa habari wajiandae kupigwa vita