Kiufupi haiwezekani kabisa!!kesi ikishafika mahakama ya juu, huwezi tena kuirudisha mahakama ya chini yake.Habarini za wakati huu waungwana! Naomba kujuzwa kenye mambo ya migogoro ya ardhi je mlalamikaji anahaki yakuanzisha kesi upya katika ofisi za kata ya serikali za mitaa, ili hali kesi ilisha fika mahakama ya wilaya zaidi ya miaka kumi na sita iliyopita na hakuendelea nayo mpaka mwisho je leo anahaki yakufufua kesi hiyo katika ofisi ya kata?
Njoo PmKesi ilianzia mahakama ya mwanzo akashindwa akaenda mahakama ya wilaya wakati kes inaendelea mahakama ya wilaya mwenyekiti wa mtaa ambae alikua ni jirani yetu akatu shauri kwann tusi yamalize, tuka yamaliza sasa baada ya miaka kumi na sita jamaa kaingiwa tena na tamaa kaenda kata kufufua kesi upya kama vile haikuwahi kufika mahakama na jumatano tumeitwa kata je huko kata tunapaswa kuwapa jibu gani?
Kwaio mliyamaliza nje ya.mahakama na sio mahakama aliyokatia rufaa haijatoa uamuzi?Kesi ilianzia mahakama ya mwanzo akashindwa akaenda mahakama ya wilaya wakati kes inaendelea mahakama ya wilaya mwenyekiti wa mtaa ambae alikua ni jirani yetu akatu shauri kwann tusi yamalize, tuka yamaliza sasa baada ya miaka kumi na sita jamaa kaingiwa tena na tamaa kaenda kata kufufua kesi upya kama vile haikuwahi kufika mahakama na jumatano tumeitwa kata je huko kata tunapaswa kuwapa jibu gani?