Je, mlango huu unafaa kukaa mbele ya nyumba?

Unaweka kama gril au ndio final?
Kama ndio final hakutakuwa na mlango mwingine, Nitakushauri mlango wa aina nyingine uweke nao ni wa chuma pia
 
Kiduku lilo anauliza mbona mnapenda kujifungia na vyuma madirishani na mlangoni. Ikitokea tahadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…