Je mmea jinseng inapatikana Tanzania?

Ngozi Joram

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
662
Reaction score
545
Habari zenu wanajukwaa,natumaini neema ya Mungu ingalipo nanyi.

Nimepata kusikia kuna mmea/mzizi kwa jina la jinseng unamaajabu katika tina yaani ni multifunction kwenye afya zetu.

Swali je jinseng inapatikana Tz?(maana niliambiwa ni ya china) pia je huu mmea haupobhapa Tz jamani maana isijekua tunayo ila ndo hatujui
 
Samahani nipo off topic

Kuna muvi inaitwa Drunken master 2 ya Jackie Chan alikua anagombea hiyo Jinseng (Ginseng) na pale walikua wanaisema hivyo kua inatibu magonjwa mbalimbali kwa Tanzania sijui inapopatikana
 
Kwa Tanzania sifahamu ila Uganda ipo.
 
nenda kwenye pharmacy kubwa utakuta kunavidonge vinakaa 30 kwenye box, au tafuta China herb yoyote kama unahitaji mizizi yake.
 
Ok mm nilikua nataka kujua kama Ginseng zenyewe zinapatikana. Sio vidonge Ginsemin
 
Ukitaka ginseng agiza kupitia aliexpress.com utatumiwa mpaka kwenye sanduku lako la posta toka China.
 
Hivi mizizi ya gingseng kariakoo hawauzi kule kwenye viungo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…