N Ntiley Senior Member Joined Oct 23, 2017 Posts 196 Reaction score 250 Mar 8, 2018 #1 Je, mnajua ni kosa kwa watu binafsi kukopeshana kwa riba? Ni muhimu sana kwenu kulijua hili. Anakuja mtu anaomba umkopeshe hela.Unamkubalia lakini kwa sharti la riba ya kiasi fulani. <br /><br />Au mkopaji mwenyewe anakushawishi kuwa ukim......
Je, mnajua ni kosa kwa watu binafsi kukopeshana kwa riba? Ni muhimu sana kwenu kulijua hili. Anakuja mtu anaomba umkopeshe hela.Unamkubalia lakini kwa sharti la riba ya kiasi fulani. <br /><br />Au mkopaji mwenyewe anakushawishi kuwa ukim......
Salih JF-Expert Member Joined Jan 31, 2013 Posts 642 Reaction score 420 Mar 8, 2018 #2 Kosa linaanzaje hapo?
mwanawao JF-Expert Member Joined Aug 18, 2010 Posts 3,192 Reaction score 5,743 Mar 9, 2018 #3 Acha kujitangazia kablog kako weye..weka taarifa yote hapa..