je MNAKUMBUKA LILE VUGU VUGU LA KUNJI 2008 UDSM

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8,029
Reaction score
5,796
Habari wanajamvi kuna kitu ambacho kamwe siwezi kulisahau hasa masuala ya migomo chuo kikuu cha Dsm (UDSM) nakumbuka sana pale wanafunzi walipokua wakipata hadha ya maji katika kampasi kuu (MAIN CAMPUS) huku wenzao wa kampasi ya mabibo wakichekelea nakumbuka kuna siku watu walianza kuamasishana na kuimba nyimbo kadhaa ndipo msafara ulipoelekea katika makazi ya makamu mkuu wa chuo VC MUKANDALA watu wakavunja geti ila vc hakuwepo ndipo watu wakaamua kwenda kuoga swimming pool bahati mbaya kiongozi wa HALL TWO akafariki dunia baada ya kuzama kwenye kina kirefu cha maji nakumbuka alikua Mwenyekiti wa HALL TWO.RIP haya na mengine ila pia nakumbuka wakuu wa kunji ambao walikua wanatikisa kama SILINDE, OWAWA, ODWANG-MGANDA. dah ilikua ni noma aise wengine wanaweza elezea zaidi





''UNIVERSITY IS A PLACE WHERE PEOPLE'S MINDS ARE TRAINED FOR CLEAR THINKING AND FOR INDEPENDENT THINKING'' Nyerere
 

daa 2008...mi ndio nipo darasa la sita....nilikuwa sijui kama kuna kitu kinaitwa udsm...kipindi hiko kuangua maembe kwenye mikorosho ilikuwa ndo dili sio udsm
 

Umekisahau kichwa kingine GWAKISA toka DUCE, mpaka leo hakijamaliza jiwe lake kwa sababu ya kunji.
 
DUCE si ni UDSM nayo ama? huu mgomo ulinitikisa kupita ule wa 2007 chini ya Mtatiro na Bush ..versity deal sana aisee!
 
WAZEEE WA KUNJI WA KARNE UDSM
dady igogo
mtatilo
doto elias
owawa
steve alistoto
BUBE
odong odwar
tandika SIJOVELWA
joshua nassari (MBUNGE)
david silinde (MBUNGE)
NYAMHANGA
GRACE
ANNA MREMI
TOTOMAN
kiukweli kikosi hicho kilikua kinamnyima usingizi VC MKANDARA
 
ha ha ha ha dah,nakumbuka 2008 naingia 1st yr yan afta 7 wixs chuo kikafungwa ad Feb..dah...stakaa nsahau..Viva Udsm...above al thngs..udsm renovatd me...had it bin nat it,wudnt hv bin wea iam 2dy! Vivaa Udsm..
 

Ilikuwa patashika kaka,bt kutokana na mgomo wa 2008 ulisababisha kuwekwa kwa mapenki makubwa ya maji,lifti ya hall 2 kujengwa n.k,japokua 2limpoteza kamanda bt mabadiliko chanya yalitokea.R.I.P Kamanda.
 
ha ha ha ha dah,nakumbuka 2008 naingia 1st yr yan afta 7 wixs chuo kikafungwa ad Feb..dah...stakaa nsahau..Viva Udsm...above al thngs..udsm renovatd me...had it bin nat it,wudnt hv bin wea iam 2dy! Vivaa Udsm..

huu uandishi huku hatuutaki. Unakuwa kama mtoto wa form two wakati unasema ulisimamishwa kipindi cha UVEJUTA! Hii ilisababisha jk alazimishe katiba za vyama vya wanafunzi zifute neno rais kwenye uongozi. GN 178!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…