Je Mnamkumbuka Kitwana Kondo

Je Mnamkumbuka Kitwana Kondo

MmasaiHalisi

Senior Member
Joined
Jan 15, 2009
Posts
192
Reaction score
23
HIVI wananchi wa dar wanamkumbuka vipi kitwana kondo....kuna taarifa kuwa halmashauri ya jiji wakati wa kitwana k..walikuwa na miradi mingi chini ya DDC aambayo kama leo ingekuwepo ..jiji letu lingejitegemea...kuna miradi ifuatayo ambayo kitwana kondo binafsi na genge lake waliiuza ..

kituo cha mafuta msimbazi [big bon]
kituo cha mafuta magomeni
kituo cha mafuta opp royal palm
kituo cha mafuta bilicanas
eneo la kituo cha mafuta ddc keko

pia kuna viwanja vingi tu vya wazi vya watoto aliuza..maeneo ya shule ., makaburi ets....hadi kufikia jiji kuvunjwa...VIWANJA VYA MNZAZI MMOJA alivyotaka kumuuzia BAGHDAD..vilipona baada ya aliyekuwa waziri wa ardhi lowassa kuingilia kati na kusababisha wananchi wenye hasira wavamie uzio wa bati uliowekwa na kujiudumia...huyu ndie kitwana kondo..and that is his LEGACY.matokeo yake leo watoto wetu hawana viwanja vya michezo wanashinda kwenye mabaa wanacheza pool table kwa ajili yake

kama kuna mwana jambo anafahamu zaidi nafikiri atajitokeza....
 
Mimi namkumbuka kwa kuwa alikuwa discontinued chuo Kikuu kwa kuwa alikuwa kilaza.
 
kama alidisco UDSM alikuwaje apewe Umeya wa Jiji letu la Dar-es-salaam,
 
All those allegations dated back to god knows when?dont you think its not fair to discuss KK's misconduct in isolation to what was happening in his era?do you even care some guys back then sold Loliondo?and your talking about a silly petrol station? after all the city needs not to do business rather get some one to it in agreement.I suggest if you have anything personal against KK make it personal as well(you know what i mean). And since you have collected a lot of information please contact PCCB they will be more than happy to help. pole if it hurted you but you need to see these issues in their wider perspective.
 
MR BURN mimi sina ubaya wowote na huyo KK, ila walivyouza open space zetu ni sawa,hata kama ilikuwa ni zamani hupendi tuwakumbushe watanzania wajue nchi yao ilianza kuuzwa tangu zamani,kwa hiyo una maana hata hawa mafisadi wa leo miaka 10 ijao tusiwa kumbushe watoto wetu jinsi walivyoiba pesa zetu pale BOT
 
kama alidisco UDSM alikuwaje apewe Umeya wa Jiji letu la Dar-es-salaam,

Sina hakika kama umeya wa mji wa Dar es salaam au wowote Tanzania unahitaji academic qualification, au unahitaji shahada. Kwa hiyo aliweza kupata umeya sio kwa kigezo cha elimu.
 
Ndio huyu ambae mzee Mwinti alioa binti ake?
 
MR BURN mimi sina ubaya wowote na huyo KK, ila walivyouza open space zetu ni sawa,hata kama ilikuwa ni zamani hupendi tuwakumbushe watanzania wajue nchi yao ilianza kuuzwa tangu zamani,kwa hiyo una maana hata hawa mafisadi wa leo miaka 10 ijao tusiwa kumbushe watoto wetu jinsi walivyoiba pesa zetu pale BOT

Nadhani maelezo yako sasa yanaonesha umeanza kunielewa, badala ya kuanzisha thread ya ufisadi wa Ester Komu unasema ufisadi wa BOT. Hapo unakuwa umeangalia kwa upana zaidi, ukiongelea mabaya ya KK ni vyema ukafahamu hiki kilikuwa ni kipindi cha aina gani, hayo ya KK kuuza viwanja vya watoto kuchezea ni viashiria tu vya hali ya nchi wakati huo. Nakumbuka maneno ya mzee Ruksa akielezea kipindi hiki alisema ilipobidi wafungue madirisha ili hewa ipate kuingia ndani, hapo na taka na wadudu wengine walitumia nafasi hii kuingia ndani.Kwa kweli kilikuwa kipindi kigumu na yaliyofanyika hapa ni magumu pia. Kuna tendency ya ku narrow issues labda kwa bahati mbaya au kwa makusudi ambayo kwa mtazamo wangu imelitafuna na itaendelea kulitafuna taifa hili. Kwa mfano badala ya mjadala kuwa mabadiliko ya kiutendaji katika serikali za mitaa kama yalivyopendekezwa na IMF na world bank na athari zake kwa jamii, tunajikuta tunajadili jinsi KK alivyouza petrol station. Nadhani umenipata, kumzungumzia KK peke yake ni kutowatendea haki wananchi wa Morogoro waliopoteza kiwanja cha sabasaba katika muktadha huohuo. Pengine ni vyema tukajiuliza hivi nguvu gani alikuwa nazo KK hata akafanikiwa kufanya mabaya yote hayo kama kulikuwa hakuna mazingira yaliyo mruhusu?sasa suluhisho litapatikana kwa KK au kurekebisha mazingira haya? ndio maana nikakuomba ndugu yangu kama unaushahidi wa kutosha wapatie TAKUKURU watamshughulikia tu.
 
Mambo ya qualification ya mtu na cheo kwa tanzania hamna,ingekuwa hivyo basi matatizo mengi yangesolvika. La muhimu uwe na upeo wa kuelewa mambo. Kuhusu suala la viwanja jamani hii ishu inahitaji undani wa taarifa mambo ya kusema umesikia cyo mazuri saana.
 
Nadhani kwenye wana jamii kuna mashushushu! wana ignore msg zawatu na kuwadiscourage.
Sidhani kama hii ya KK ni udaku au umbea.WHY AENDE PCCB.Nadhani PCCB wataitoa humu humu kwa wanajamii kwa ma grea thinkers

jamani!
 
Why this thread comes a year before election? especially after NEC meeting that discussed among other things amendments of the MPs selection procedures? I mean the timing is just too suspecious!!!
Hii janja ya samaki humalizwa na kiangazi!
 
Nadhani kwenye wana jamii kuna mashushushu! wana ignore msg zawatu na kuwadiscourage.
Sidhani kama hii ya KK ni udaku au umbea.WHY AENDE PCCB.Nadhani PCCB wataitoa humu humu kwa wanajamii kwa ma grea thinkers

jamani!
Darling,
shushushu what is wrong with that? as long as I express my views, I dont think being a shushushu or something has anything to do with my arguments..kama unaamini hapa ni home of great thinkers, unajua kama great thinkers wanajadili issues na sio watu? badala ya wewe kuanza kujadili ushushu wa mtu huyo kwa nini usitupe views zako kuhusu hoja zake?
 
Mambo ya qualification ya mtu na cheo kwa tanzania hamna,ingekuwa hivyo basi matatizo mengi yangesolvika. La muhimu uwe na upeo wa kuelewa mambo. Kuhusu suala la viwanja jamani hii ishu inahitaji undani wa taarifa mambo ya kusema umesikia cyo mazuri saana.

Mkuu sijui unaishi dunia gani. Elimu ndio inakufanya mtu uwe na upeo wa kuelewa mambo. Kama utakumbuka kuna kipindi kimoja cha uchaguzi mzee KK aligawa pilau kwa wapiga kura, kwa kuwa kwa upeo wake hilo ndio lilikuwa tatizo kubwa kwa waliompigia kura. Walipomwita wamwambie matatizo yao akakataa kwenda kwa kuwa alishawapa pilau, upeo kama huo usingekuwepo kama KK angekuwa na elimu.
 
Nadhani kwenye wana jamii kuna mashushushu! wana ignore msg zawatu na kuwadiscourage.
Sidhani kama hii ya KK ni udaku au umbea.WHY AENDE PCCB.Nadhani PCCB wataitoa humu humu kwa wanajamii kwa ma grea thinkers

jamani!

Unadhani?? wapo humu siku nyingi saana...kazi yao kulinda maslahi...
 
Mkuu sijui unaishi dunia gani. Elimu ndio inakufanya mtu uwe na upeo wa kuelewa mambo. Kama utakumbuka kuna kipindi kimoja cha uchaguzi mzee KK aligawa pilau kwa wapiga kura, kwa kuwa kwa upeo wake hilo ndio lilikuwa tatizo kubwa kwa waliompigia kura. Walipomwita wamwambie matatizo yao akakataa kwenda kwa kuwa alishawapa pilau, upeo kama huo usingekuwepo kama KK angekuwa na elimu.
Hey guys,taratibu..!!!!

Huo the so called UPEO unaotokana na elimu umetusaidia nini kwenye zama za maDr. pale BOT na wasomi wa Havard waliosimamia mikataba yetu?

Yes,ni muhimu kuwa na ELIMU lakini sio kuwa MSOMI.mwenye elimu ni yule aliye elimika na akaitumia elimu yake kwa manufaa ya jamii inayomzunguka.

Kama Taifa tumejitahidi sana kusomesha wananchi wetu na kuwapa madaraka lakini bahati mbaya WENYE ELIMU ni wachache.
 
Unadhani?? wapo humu siku nyingi saana...kazi yao kulinda maslahi...

na wewe mkuu?hivi mtu kuwa na mawazo tofauti na yako ni dhambi?for some of us kutokubaliana kimsimamo au mawazo ni ukomavu wa kifikra. Iwapo kuna watu wanalinda maslahi ni wazi pia wapo wenye lengo la kuyaharibu hayo maslahi. Ni vyema tukautafuta ukweli wa pande hizi mbili kwa hoja na si kwa maneno ya kumshambulia mtoa hoja. Wewe kazi ya mtu inakuhusu nini?sidhani kama hapa ni mahala pa kukejeli kazi za watu, nadhani umepotea njia kuna sehemu mahususi ambapo lugha hizo ni 100% halal si hapa home of great thinkers kama alivyo tangulia kusema mwenzako.
 
Wadau ni uungwana kutokufukua makaburi? Kusema aende PCCB ni kumwonea ni sawa na kupeleka kesi ya nyani kwa ngedere! Kama yaliyotokea 2005 yanakuwa vigumu kupeleka mahakamani(kagoda) Hayo ya miaka 15 na ushee utayaweza. Kuweka rekodi sawa ni kwamba KK alikuwa power house ya Mzee Ruksa si alimpatia binti akaoa. Now we have the answer kwa nini Mwinyi alichapwa kofi juzi tu! the damage done under ruksa era it's impossible to cure in the next fifty years . Nakubaliana na wengi tuchore mstari. Tuanze upya KK apumzike na asipande kwenye majukwaa anaweza akakumbusha wengi machungu ya kale wakamkosovo! Kizazi hiki hakitaki masihara kwani unafikiri financial crunch hawaioni? They caused this mess kwa hiyo wanakosa mandate ya kurekebisha waachie wengine na ole wao wathubutu kuridhishana uongozi kwa watoto wao hapa patachimbika!
 
Back
Top Bottom