MmasaiHalisi
Senior Member
- Jan 15, 2009
- 192
- 23
HIVI wananchi wa dar wanamkumbuka vipi kitwana kondo....kuna taarifa kuwa halmashauri ya jiji wakati wa kitwana k..walikuwa na miradi mingi chini ya DDC aambayo kama leo ingekuwepo ..jiji letu lingejitegemea...kuna miradi ifuatayo ambayo kitwana kondo binafsi na genge lake waliiuza ..
kituo cha mafuta msimbazi [big bon]
kituo cha mafuta magomeni
kituo cha mafuta opp royal palm
kituo cha mafuta bilicanas
eneo la kituo cha mafuta ddc keko
pia kuna viwanja vingi tu vya wazi vya watoto aliuza..maeneo ya shule ., makaburi ets....hadi kufikia jiji kuvunjwa...VIWANJA VYA MNZAZI MMOJA alivyotaka kumuuzia BAGHDAD..vilipona baada ya aliyekuwa waziri wa ardhi lowassa kuingilia kati na kusababisha wananchi wenye hasira wavamie uzio wa bati uliowekwa na kujiudumia...huyu ndie kitwana kondo..and that is his LEGACY.matokeo yake leo watoto wetu hawana viwanja vya michezo wanashinda kwenye mabaa wanacheza pool table kwa ajili yake
kama kuna mwana jambo anafahamu zaidi nafikiri atajitokeza....