Je, mnauonaje huu muonekano wa BRT terminal inayotarajiwa kujengwa huko Mbagala?

Hahaaaaaaaaa mimi mwanzoni nilivyokuwa naonaga nikawa najisema moyoni loool eneo ili litakuwa kama metro station hivi za ulaya kuja kuaingia nikasema ni hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
ka mimi tu walivomaliza nikawa nadhani labda ujenzi bado... nlifikiria sana kwa nini iwe ivi mpaka nikaanza kuingiwa na wasi wasi kwamba labda yale maneno ya bara letu lina laana ni ya kweli that is why hata tukitengeneza vitu vizuri vinagoma kuonekana vizuri

Ahhaaaaaaaaaaaaa yaani mkuu ili jambo limekuwa linanisumbuaga sana anyway

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ka mimi tu walivomaliza nikawa nadhani labda ujenzi bado... nlifikiria sana kwa nini iwe ivi mpaka nikaanza kuingiwa na wasi wasi kwamba labda yale maneno ya bara letu lina laana ni ya kweli that is why hata tukitengeneza vitu vizuri vinagoma kuonekana vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu umenichekesha sana ... Vinagoma kuonekana vzur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom