Je, mnayachukuliaje haya maneno ya Hayati Magufuli?

Je, mnayachukuliaje haya maneno ya Hayati Magufuli?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Sitaki kuongeza neno lolote zaidi ya kutambulisha.

Naomba, kwa heshima na taadhima, sikiliza haya maneno ambayo hayakukanushwa ndipo uamue.

Je, tumefikaje hapa?

Sitaki kuongeza neno lolote zaidi ya kutambulisha.

Naomba, kwa heshima na taadhima, sikiliza haya maneno ambayo hayakukanushwa ndipo uamue.

Je, tumefikaje hapa?

Ni utaratib upi wa wanaccm wamkanushe mwenyekiti wao? CCM hawana huo utaratib publicity! NB: Hili naongea kila mara humu.. ndan ya CCM hapajawahi tokea msafi zaid ya hayati JKN!! Hakuna, kinachofanyika kila mmoja huja na mbinu na style zake za kutafuna Nchi.
 
Sipotezagi bundle langu kizembe hivyo.

Andika summary alisema nini?
Who cares about you?
20230527_134250.jpg
 
Back
Top Bottom