Ni utaratib upi wa wanaccm wamkanushe mwenyekiti wao? CCM hawana huo utaratib publicity! NB: Hili naongea kila mara humu.. ndan ya CCM hapajawahi tokea msafi zaid ya hayati JKN!! Hakuna, kinachofanyika kila mmoja huja na mbinu na style zake za kutafuna Nchi.