Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
ICC wanayo misingi ya kufanya uchunguzi yanapotokea mauaji kwenye taifa fulani, hawaingii tu.Baada ya ripoti hii kutoa idadi ya mamia ya watu waliouwawa Oktoba 29 , ICC si watakuwa wamepata sababu nyingine ya kuchunguza haya mauji?
Na, kwa Samia mwenyewe kusema hadharani kywa hiyo ripoti ni mali yake, ICC hawapati sababu nyingine ya kuona umuhimu wa uchunguzi huru?
Muda utasema.
Tema mate chiniICC na ni wahuni tu
Kwa mauaji haya Bado wanchekea Samuya
Nina uhakika, Samuya atatawala hadi arudi Kwale Kizimkazi ICC hawajamtia. Mbaloni
Km report ni mali ya rais kuna utofauti gn na mme wake
Ndioulishawahi kumuona popote? ...
Usemacho mi kweli,kama S100 hagusi maslahi yao wala hawana habari naye. Hata atuuwe wote lakini akiendelea kuwapa watakacho wala hawatajitingisha. Watavaa miwani ya mbaoICC na ni wahuni tu
Kwa mauaji haya Bado wanchekea Samuya
Nina uhakika, Samuya atatawala hadi arudi Kwale Kizimkazi ICC hawajamtia. Mbaloni
Inaweza, Rais amekili kwa mara ya pili, mara ya kwanza alisema "hakukuwa na njia nyingine ya kufanya isipokuwa ya kuwaua, hata wao hufanya hivyo.Baada ya ripoti hii kutoa idadi ya mamia ya watu waliouwawa Oktoba 29 , ICC si watakuwa wamepata sababu nyingine ya kuchunguza haya mauji ukizingatia hiyo idadi?
Na kwa Samia mwenyewe kusema hadharani kuwa hiyo ripoti ni mali yake, ICC hawapati sababu ya kutilia mashaka hiyo ripoti?
Muda utasema.
Km report ni mali ya rais kuna utofauti gn na mme wake