Je, mpangaji huyu ana haki yoyote?

Unatoa wapi ujasiri wa kumzalisha mpangaji wako? Wewe ni hewa kabisa
 
Ndiyo.
Mnataka kubaki na mtoto,Mama mumfukuze?
 
Hivi kwa nini tofauti zetu mpaka muwaingize wazazi?

Umekosa chochote cha kumjibu mpaka umdhalilishe mama?
Huo udhalilishaji bila shaka umeuona wewe tu.
Unataka kuniambia mama yako unamwita dada kwasababu ukimwita mama ni udhalilishaji?
 
Hana haki ya kuendelea kuishi hapo, kwanza hiyo kodi ya pango aliyokuwa amesamehewa ilikuwa ni rushwa ya ngono.
 
Watoto wanakuwa na haki kama walitambuliwa na ndugu wa marehemu kabla ya baba yao kufariki.
Ikiwa kuna ushahidi wa kutosha wa huduma alizokuwa anatoa marehemu kwa wanawe je? Ikiwa ni pamoja na vyeti vya kuzaliwa vikiwa na majina ya marehemu baba yao
 

Ukimzalisha mwenye nyumba wako Je?
 
Hakuna cha ushahidi, ndugu wa marehemu wanatakiwa wawe wanawatambua, ikiwa hivyo watawaingiza kwenye orodha ya wanaotakiwa kupata urithi wa marehemu.
Ikiwa kuna ushahidi wa kutosha wa huduma alizokuwa anatoa marehemu kwa wanawe je? Ikiwa ni pamoja na vyeti vya kuzaliwa vikiwa na majina ya marehemu baba yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…