Je, mpira una uchawi?

uchawi haufanyi Kazi labda Familiya yenu mmemroga ili asitoboe lakin kuroga ili awe Bora zaidi ya wenzie haiwezekani
Umeandika uchawi haufanyi kazi hapo hapo ukaandika tena labda familia yao wamemroga. Je uchawi unafanya kazi au haufanyi kazi?
 

Hahahahah jamaa akarudia tena ujangili na akawa anapeleka nyama kwa mganga.

This time nyati anaondoka na utumbo.
 
Muulize mzee mpili,na ustaadh wa kinyesi fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…