Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Umejuaje kama alie uliza ni utopolo?Wanaendelea Kutafuta Wadhamini zaidi Ya Azam....Tatizo Lipo wapi hapo ?
Utopolo huwa Wanalaumu kila Kitu...! na Wewe Uto?
Hawapelekwi kindugu Mkuu, most of them ni "KITENGO"tatizo hawa watu hawapitii process za kawaida za kuchaguliwa au kushindanishwa, wanapeana kiundugu hawa ndio wanakagua viwanja michezo ikianza wanavifungia
Sasa hivi mshindi anapewa IST huko mikoani wanapewa bajaji au pikipikiMaisha haya bana,Kuna kipindi Miss Tz ya kina Lundenga ilikuaga na udhamini mnono kuliko Ligi kuu.
Kuna faini zinapigwa kihalali ,kuna timu zinaruka ukuta au kupitia milango isiyo rasmi hata zikipigwa faini wanarudi makusudi.katika vitu vinavyochangia kuzorotesha mpira wetu miongoni mwake ni bodi ya ligi...imejaa viazi mbatata tupu, watu wanawaza fine tu waneemeshe matumbo yao, siyo influential wala smart kuwa pale, ligi inaanza wiki ijayo, hii leo hata mdhamin hajulikan!
Azam wametoa pesa ya TV rights kwa awamu ya kwanza wao wanazipeleka kwenye semina na kozi za marefa ili tu wapate channels za kupiga...ovyo kabisa!
katika vitu vinavyochangia kuzorotesha mpira wetu miongoni mwake ni bodi ya ligi...imejaa viazi mbatata tupu, watu wanawaza fine tu waneemeshe matumbo yao, siyo influential wala smart kuwa pale, ligi inaanza wiki ijayo, hii leo hata mdhamin hajulikan!
Azam wametoa pesa ya TV rights kwa awamu ya kwanza wao wanazipeleka kwenye semina na kozi za marefa ili tu wapate channels za kupiga...ovyo kabisa!
Unataka kuja na hadithi yako ya ajabu sana. Eti KITENGO huyu Wambura na Kassongo wawe KITENGO labda. Leta cv ya Kassongo.Hawapelekwi kindugu Mkuu, most of them ni "KITENGO"
Kasongo Almas, Boniface Wambura(siku hizi yuko TFF) na wengine kibao wako hapo kutotana na ajira zao za kificho ma wala sio kwa sababu ya kuwa wanamichezo wazuri
Umeona wapi duniani pesa za TV rights zikatumika kwenye semina za marefa!Ulitaka wakununulie matikiti maji?
Mbona unataka kuwapangia matumizi ya pesa hizo?
Hataelewa wapi. Ligi hii inaendeshwa kutumia GPO gani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Umeona wapi duniani pesa za TV rights zikatumika kwenye semina za marefa!
hivi Tv rights ndani ya hzo pesa si kuna pesa ya uendeshaji kwa taasisi? Au ulijua za taasisi unanunulia tv? Huo mpira unaotarajia kuuona ikawa hao waamuzi wanaboronga je kesho utapata hamu ya kukaa kutizama tena?Umeona wapi duniani pesa za TV rights zikatumika kwenye semina za marefa!