Je, Msajili wa Siasa ataichunguza Chadema dhidi ya madai ya Mtu mmoja Kufanya Maamuzi yote ya Chama?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kama tuhuma za mchungaji Msigwa Kwamba Mbowe Ndiye anaamua mambo yote ya Chadema basi hicho Siyo Chama cha Demokrasia bali Udikteta

Je, msajili wa vyama vya Siasa ataichunguza Chadema pamoja na hesabu za matumizi ya Chama?
 
achunguze pia na tuhuma kuwa mwenyekiti wa ccm ndo anafanya maamuzi yote ya nchi hii
uthibitisho ni shukrani anazopokea kwa kila kinachofanyika. ikijengwa reli anASIFIWA. barabara anasifiwa
tunaomba pia achunguzwe
 
Kama tuhuma za mchungaji Msigwa Kwamba Mbowe Ndiye anaamua mambo yote ya Chadema basi hicho Siyo Chama cha Demokrasia bali Udikteta

Je, msajili wa vyama vya Siasa ataichunguza Chadema pamoja na hesabu za matumizi ya Chama?
Chama kinaendeshwa Kwa kufata katiba,na kama Mbowe anaendesha chama Kwa mabavu basi ni dhahiri ccm imechoka na iondoke tu kwakuwa imeshindwa kuisimamia serikali.
 
Msajili achunguze kwanza ile form moja ya mwenyekiti inayochangiwa pesa nchi nzima ! sisjui walimu wanachanga ... sijui kina nani wanachanga ......
 
Back
Top Bottom