achunguze pia na tuhuma kuwa mwenyekiti wa ccm ndo anafanya maamuzi yote ya nchi hii
uthibitisho ni shukrani anazopokea kwa kila kinachofanyika. ikijengwa reli anASIFIWA. barabara anasifiwa
tunaomba pia achunguzwe
Chama kinaendeshwa Kwa kufata katiba,na kama Mbowe anaendesha chama Kwa mabavu basi ni dhahiri ccm imechoka na iondoke tu kwakuwa imeshindwa kuisimamia serikali.