JE ? MSHANA jr ALIACHA ULOZI KWA HIALI??

Udart

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
398
Reaction score
586
Heri ya jumapili: Jana juzi bhn Kuna jamaa yangu alipata kesi kubwa hapa dsm sasa katika kuhangaika jamaa wakashauri twende Kwa msisi tanga tukaroge tuokoe jahazi safari ya watu watatu ukaanza tumefika handeni tunaelekezwa Kwa msisi kumbe ni ndani ndani kabsa bara bara mbovu hata umeme baadhi ya sehem naona Bado sasa bwana tumekarbishwa na mwenyeji akatupeleka Kwa fundi nikashangaa fundi mwenyewe ni kijana ila ni mchafu sana akatuelekeza nahtaji uzuri vitu vingi anavyo ikawa rahisi tukashangaa garama jamaa anasema tukifanikiwa twende tukatoe shukran sasa tukiwa pale wakati jamaa yetu anapigwa chale za tako nikakumbuka ndugu yangu Mshana Jr alishawahi kuwa na kilinge kule nikawauliza Kuna jamaa anaitwa MSHANA alikuwa kipindi Cha nyuma huku na kiringe mnamjua kwanza wakasita nikafungua fasta jf nikawaonyesha pic ya MSHANA 🤣🤣🤣
yule jamaa alicheka sana alisema huyu jamaa namjua alipotoka masomoni alikabidhiwa mikoba ni kweli akaanza kutibu tibu watu na Kutabiria watu wa betting mipira katika kumhoji jamaa anasema MSHANA baada ya kurudi bongo na kupewa mikoba aliingiiza ujuaji na ubishoo kwenye kazi kitu ambacho ni kosa kubwa sana akasema Kwa mfano walipo kuwa wanaenda kuwanga sehem kama masaki wakiingia ndani yeye akiona Ile mimama mama ya kule ilivyonona mnara ukawa unasoma 4g akaanza kuwachakata kimiujiza pili wakati wakipaa na ufagio wakitumia fisi hutakiwi kuvaa kitu kingne zaidi ya kaniki lkn mwamba mshan akavaa miwani ya tinted akasema kwenye sherehe zao kuna nyama walikuwa wanakula Ile haitakiwi maviungo yoyote yenyewe inachomwa tu nakuila lkn MSHANA kwa unaishi akaanza kwenda na ndimu na konyaji richa ya kuongea hakusikia mizimu ukaanza kumkataa na kumuadhibu ndio maaana mshana mbaka Leo hata gizani anavaa miwani ya tinted na Ile kuacha ULOZI ni baada ya kuferi kufuata maagano ya mizimu hizi taarifa tumezipata live huku Kwa msisi unaambiwa MSHANA alikuwa hafai akikuangalia tu kama hujafa lazma uwe chizi.
 
Attachments

  • Screenshot_20241122-063158.jpg
    Screenshot_20241122-063158.jpg
    546.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241122-063202.jpg
    Screenshot_20241122-063202.jpg
    511 KB · Views: 7

😂😂😂😂
20241229_165957.jpg
 
Kwa mtazamo wangu mshana katika maisha yake amekaa sana kwa waganga either kwa matatizo au msaidizo wa mganga.

Amepata ujuzi flani flani ila sidhani kama amewahi kuwa mganga.

Kama angekuwa mganga angetafuta wateja huku akapata mashavu
 
Heri ya jumapili: Jana juzi bhn Kuna jamaa yangu alipata kesi kubwa hapa dsm sasa katika kuhangaika jamaa wakashauri twende Kwa msisi tanga tukaroge tuokoe jahazi safari ya watu watatu ukaanza tumefika handeni tunaelekezwa Kwa msisi kumbe ni ndani ndani kabsa bara bara mbovu hata umeme baadhi ya sehem naona Bado sasa bwana tumekarbishwa na mwenyeji akatupeleka Kwa fundi nikashangaa fundi mwenyewe ni kijana ila ni mchafu sana akatuelekeza nahtaji uzuri vitu vingi anavyo ikawa rahisi tukashangaa garama jamaa anasema tukifanikiwa twende tukatoe shukran sasa tukiwa pale wakati jamaa yetu anapigwa chale za tako nikakumbuka ndugu yangu Mshana Jr alishawahi kuwa na kilinge kule nikawauliza Kuna jamaa anaitwa MSHANA alikuwa kipindi Cha nyuma huku na kiringe mnamjua kwanza wakasita nikafungua fasta jf nikawaonyesha pic ya MSHANA 🤣🤣🤣
yule jamaa alicheka sana alisema huyu jamaa namjua alipotoka masomoni alikabidhiwa mikoba ni kweli akaanza kutibu tibu watu na Kutabiria watu wa betting mipira katika kumhoji jamaa anasema MSHANA baada ya kurudi bongo na kupewa mikoba aliingiiza ujuaji na ubishoo kwenye kazi kitu ambacho ni kosa kubwa sana akasema Kwa mfano walipo kuwa wanaenda kuwanga sehem kama masaki wakiingia ndani yeye akiona Ile mimama mama ya kule ilivyonona mnara ukawa unasoma 4g akaanza kuwachakata kimiujiza pili wakati wakipaa na ufagio wakitumia fisi hutakiwi kuvaa kitu kingne zaidi ya kaniki lkn mwamba mshan akavaa miwani ya tinted akasema kwenye sherehe zao kuna nyama walikuwa wanakula Ile haitakiwi maviungo yoyote yenyewe inachomwa tu nakuila lkn MSHANA kwa unaishi akaanza kwenda na ndimu na konyaji richa ya kuongea hakusikia mizimu ukaanza kumkataa na kumuadhibu ndio maaana mshana mbaka Leo hata gizani anavaa miwani ya tinted na Ile kuacha ULOZI ni baada ya kuferi kufuata maagano ya mizimu hizi taarifa tumezipata live huku Kwa msisi unaambiwa MSHANA alikuwa hafai akikuangalia tu kama hujafa lazma uwe chizi.
Ngoja aje akujibu,ni mtani wako nini!!
 
Back
Top Bottom