Je, mshindi katika kombe la dunia anapatikanaje?

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
Habari za muda huu wana jf,

Naomba kuelekezwa jinsi mshindi anapatikana katika kombe la dunia kuanzia hatua ya makundi, 16 bora, robo fainali, nusu fainali hadi fainali

Jibu lako litanielimisha mimi na wengine wasio na ufahamu juu ya hili, karibu
View attachment 2430398
 
Toka makundi mshindi wa 1 atacheza mtoano na mshindi wa 2 wa kundi jingine. Hapo timu zitakazopenya zinaingia robo na hapo mshindi wa kundi anacheza mtoano na mshindi mwingine wa kundi hadi fainali. Wale watakaopoteza kwenye nusu fainali watacheza wenyewe kupata mshindi wa 3. Umerewa au umerewa nikuongezee muzee...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…