Je, msimamo wa Marekani utaendelea kuwa ule ule au utabadilika dhidi ya magaidi hawa?

Je, msimamo wa Marekani utaendelea kuwa ule ule au utabadilika dhidi ya magaidi hawa?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
HTS wametwaa madaraka kwa mtutu wa bunduki.

Huu ndio uliokuwa msimamo wa marekani.

Screenshot_20241208_123313_X.jpg
Screenshot_20241208_123423_X.jpg
Screenshot_20241208_123358_X.jpg

Je, utaendelea kuwa ule ule au utabadilika ?
 
Msimamo utabaki ule ule labda magaidi wabadilike tu na kuwa raia wema.
 
Msimamo utabaki ule ule labda magaidi wabadilike tu na kuwa raia wema.
Huu ni wakati sahihi marekani kutumia kambi yake Syria kumnyaka huyu gaidi na kundi lake kama Osama maana kajileta mwenyewe mdomoni mwa mamba.
 
Huu ni wakati sahihi marekani kutumia kambi yake Syria kumnyaka huyu gaidi na kundi lake kama Osama maana kajileta mwenyewe mdomoni mwa mamba.
Wakati wao ndiyo wamemsaidia na kumfadhili
 
Kwa kifupi Marekani hana adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu yeye yupo kulinda maslahi yake mengine mtajua wenyewe. Pale utakapo badilika na yeye anakubadilikia
Usa hana shida na mtu kikubwa alinde maslah ya usa.
 
Back
Top Bottom