Je mtaala umepelekwa Bungeni leo?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Kuna habari (nisizoziamini) nimepata kutoka kwa jamaa yangu ya kwamba, Waaziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Shukuru Kawambwa, amepeleka mtaala Bungeni leo, kama ilivyoshinikizwa na Mh. Mbatia (na Wabunge wa upinzani).
Pia, ili kutibitisha ya kwamba mtaala uliowasilishwa ni sahihi (si wa kupikwa fasta fasta ili mwanaharamu apite) imeundwa tume ya Wabunge kadhaa, akiwamo Mh. Mbatia kuuchunguza.
Je habari hizo ni za kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…