KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 May 29, 2023 #1 Hebu tuelezane ukweli ili tuweze kuyafanya mazingira yetu safi na salama.
zerominus10 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2022 Posts 8,142 Reaction score 13,721 May 29, 2023 #2 Dampo ndio Nini ? Pugu kajiungeni ?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 May 29, 2023 #3 Linapita gari la taka kila baada ya week mbili.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 May 29, 2023 #4 Halipo dampo ila tunakusanya kwenye mifuko huwa wanapita wazoa taka mara tatu kwa wiki wanazoa kuanzia jero hadi 3000 kulingana na wingi wa taka za nyumba husika
Halipo dampo ila tunakusanya kwenye mifuko huwa wanapita wazoa taka mara tatu kwa wiki wanazoa kuanzia jero hadi 3000 kulingana na wingi wa taka za nyumba husika