Je, Mtanzania anaweza kunyongwa nje ya nchi?

Je, Mtanzania anaweza kunyongwa nje ya nchi?

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amai iwe nanyi wakuu.

Kama swali linauliza hapo juu. Je Mtanzania anaweza kunyongwa nje ya nchi? Kuna wana wanabishana hapa. Wengine wanasema sheria za Tanzania haziruhusu Mtanzania anyongwe nje.

Nawasilisha

LONDON BOY
 
Oya mbona hamjibu au wanasheria bado mko kizimban na kesi za wateja wenu
 
Sasa ufanye kosa China halafu wasikunyonge kwamba sheria zenu haziruhusu.
 
Amai iwe nanyi wakuu.

Kama swali linauliza hapo juu. Je Mtanzania anaweza kunyongwa nje ya nchi? Kuna wana wanabishana hapa. Wengine wanasema sheria za Tanzania haziruhusu Mtanzania anyongwe nje.

Nawasilisha

LONDON BOY
Aijalishi unatoka nchi gani,ukifanya kosa sehem,unahukumiwa kwa Sheria ya hiyo sehemu.
Watanzania wengi tu sababu ya madawa ya kulevya wamenyongwa mpaka kufa nchi mbali mbali ikiwemo Iran, Pakistan, Thailand, China, etc.
 
lnawezekana. Ila kwa Sheria ya Extradition nadhani Tanzania inaweza kuomba aje ahukumiwe na kunyongewa nyumbani. Kama mkataba wa Aina hiyo upo baina ya nchi Hizo 2.
 
Back
Top Bottom