Kama swali linauliza hapo juu. Je Mtanzania anaweza kunyongwa nje ya nchi? Kuna wana wanabishana hapa. Wengine wanasema sheria za Tanzania haziruhusu Mtanzania anyongwe nje.
Kama swali linauliza hapo juu. Je Mtanzania anaweza kunyongwa nje ya nchi? Kuna wana wanabishana hapa. Wengine wanasema sheria za Tanzania haziruhusu Mtanzania anyongwe nje.
Aijalishi unatoka nchi gani,ukifanya kosa sehem,unahukumiwa kwa Sheria ya hiyo sehemu.
Watanzania wengi tu sababu ya madawa ya kulevya wamenyongwa mpaka kufa nchi mbali mbali ikiwemo Iran, Pakistan, Thailand, China, etc.
lnawezekana. Ila kwa Sheria ya Extradition nadhani Tanzania inaweza kuomba aje ahukumiwe na kunyongewa nyumbani. Kama mkataba wa Aina hiyo upo baina ya nchi Hizo 2.