Solomon David
JF-Expert Member
- Mar 1, 2009
- 1,148
- 17
Ila ipo kazi bado watanzania wengi kuelimika . . .
Asubuhi nilikuwa naongea na sister wangu moja na jirani yake, bado wanaamini CHADEMA ni watu wa vurugu na watavuruga amani. Nilipowadodosa hawana hoja ila tu wao wanaona bora CCM pamoja na kuwa wanajua nini Slaa kafanya.
Bado CHADEMA wanayo kazi ngumu ya kuwashawishi watu kama hawa waelewe.
kuhusu chadema kununua muda wa hewani, je wenye TV watakubali, maanake wote kama ccm vile
Ila ipo kazi bado watanzania wengi kuelimika . . .
Asubuhi nilikuwa naongea na sister wangu moja na jirani yake, bado wanaamini CHADEMA ni watu wa vurugu na watavuruga amani. Nilipowadodosa hawana hoja ila tu wao wanaona bora CCM pamoja na kuwa wanajua nini Slaa kafanya.
Bado CHADEMA wanayo kazi ngumu ya kuwashawishi watu kama hawa waelewe.
So far, hawakubali.
Kuna sehemu nimesoma invisible kaandika kuwa Chanel 10 walikataa kuwauzia chadema air time kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni.
mkuu niliwahi kutoa ushauri wa bure mwaka juzi kuwa itumike njia ya kusambaza elimu kwa umma ili CHADEMA wanapoingia ktk mchakato wa kampeni wasiwe wageni masikioni mwa watanzania wengi. Bado naamini tulioelimika kuhusu uhalisia wa mambo ni wachache mno. hatari iliyoko wapigakura wengi hawajui hata kama WAMEDANGANYIKA vya kutosha.Mimi nashauri CHADEMA kama wakiweza, wawe wananunua strategic Airtime katika TV na Redio ambazo Watanzania wengi wanasikiliza. Vipindi hivi viambatane na Muziki ambavyo Watanzania wengi wanapenda.
Kupitia vipindi hivi Sera za CHADEMA na Elimu ya kutosha itolewe ili wengi waweze kushawishika.
Magazeti pia yatumike kila siku kuelezea sera kwa lugha nyepesi na hata ya picha au cartoon bila kuleta hadithi nyingi. watanzania wengi si wasomaji. Zitengenezwe DVD zilizoambatana na Muziki safi na zigawiwe kwa wingi huku vijarida vidogo vinavyoonyesha vipaumbele kwa lugha nyepesi vikigawiwa.
Mimi nashauri CHADEMA kama wakiweza, wawe wananunua strategic Airtime katika TV na Redio ambazo Watanzania wengi wanasikiliza. Vipindi hivi viambatane na Muziki ambavyo Watanzania wengi wanapenda.