Je, Mtanzania, una imani Bunge linaloendelea Dodoma?

Mataga karibu tena , ulikuwa wapi aisee ?
 
Hata mimi nilishangaa baada ya kuona habari kwenye page ya Azam tv juu ya hoja ya bodi ya mikopo bungeni. Nikabaki najiuliza,"kumbe bunge limeanza!"
 
Pale hakuna bunge zaidi ya majambazi tu yanayoiba kisheria.wale kina mdee wanakamua tu Kodi zetu...ni sawa na wafanyakazi wenye vyeti feki tu
 
Bunge gani ambalo mbunge anachangia huku anahofu akihoji mambo mazito Mwenyekiti wa chama atamuadabisha? Ukiwaangalia wabunge walio wengi wanachangia hoja huku wanatetemeka
 
Sio hivyo tu , hao wabunge wanaapa kuilinda katiba ya Jamhuri ya Tanzania lakini hapo hapo wanashindwa kuitetea katiba hiyo pale wanapokubali wajumbe wasiokuwa na chama kuwa wabunge kinyume na Katiba!!
Haahaa kuapa afrika alikwambia Nani? Afrika ni usanii tupu
 

Nadhani CCM watajifunza umuhimu wa upinzani imara bungeni ,hivi walidhani wanamkomoa Mbowe,Sugu,Mnyika,Heche kwa kuwaondoa Bungeni? Sasa ngoja waone Bunge la Manyani lilivyo!! Sasa kibajaji atatoa hoja gani au Msukuma? Maana hoja zao ni mpaka wamsikilize lissu au mbowe au heche na wao ndio waje kudandia treni kwa mbele.
 
Lile siyo bunge ni kikao cha ccm na CHACHANDU
 
Uwe na imani au la posho zinatolewa kama kawaidaa
 
Hao wamejikusanya Dodoma ktombana tu hakuna lingine
 
Tufuatilie ,tusifuatilie tunaoumia ni sisi wananchi maana wao hawalipi kodi na mishahara mikubwa...nimesikia kuna mbunge ameshatoa hoja Rais aongezewe muda.

Kiufupi hii ngoma tutaimba na kucheza sote.
 
Hata sikujua kama limeanza na sina mpango wa kutazama kwa miaka yote mitano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…