Sawa mwanasheria msomi.Kwanza ieleweke mali ulizomkuta nazo mumeo huna haki nazo,ila mali uliyoanza kuchuma ukiwa nae hizo 100% unayo haki nazo.
Ni utashi tu wa mwanaume kukumegea mali hata ulizomkuta nazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalau wewe nakuelewa, wanawake wengi wanaonekana kuamini wanayo haki ya kurithi Mali waliyomkuta nayo mume.Kwanza ieleweke mali ulizomkuta nazo mumeo huna haki nazo,ila mali uliyoanza kuchuma ukiwa nae hizo 100% unayo haki nazo.
Ni utashi tu wa mwanaume kukumegea mali hata ulizomkuta nazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake ni wabinafsi sana linapokuja swala la hela/mali mkuu, hilo wala usijichoshe kuwazaAngalau wewe nakuelewa, wanawake wengi wanaonekana kuamini wanayo haki ya kurithi Mali waliyomkuta nayo mume. Nabaki najiuliza hivi kwa mfano wanawake hao hao wangekuwa labda warithi kwenye familia ya Mengi alafu waolewe na MTU kama Mimi ambaye tayari Nina watoto 4 huko nje, Je watakubali kunipa Mimi nusu ya Mali niliyoikuta ambayo wao wameachiwa urithi na baba yao? Na je watoto wangu niliokuja nao, watakubali kuwapa urithi Wa hiyo Mali niliyoikuta?
Hakuna sehemu nimekataa mkuu, Mimi siifahamu sheria vizuri so kama ipo hivyo mimi ni nani nipinge? Sheria ifuatwe sina tatizoNajua ni ngumu kukubaliana na hili ila huu ndiyo ukweli,mwanzoni ilikuwa hata mali alizozipata mume akiwa na mke hapati ila sheria ikabadirika na kuonekana mchango anaoutoa mwanamke hata kukupikia,kukufulia unatosha na yeye kupata mali ila siyo kwa mali alizokukuta nazo mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea deep sana mkuu,na pole piaKitakachouua wewe ni mkeo, mume aliyezaa naye na huyo mtoto wa kambo.
Mtoto msomeshe hujui kesho yake.
Mali hauondoki nazo, wagawie watoto wote sawa,..
Sasa ebu fikiria mtoa mada anaposema mke wake anataka kwenda mahakamani kisa mtoto Wa kambo kanyimwa urithi kwa Mali ambaye mama yake aliikuta, maoni ya wanawake wengi yanatetea huyo mtoto Wa kambo kupewa urithi.Wanawake ni wabinafsi sana linapokuja swala la hela/mali mkuu,hilo wala usijichoshe kuwaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani, hebu nisaidieHivi siku hizi akili zinauzwa ghali sana kiasi kwamba wengine tunashindwa kununua? Mbona majibu yako wazi?!!! Mtoto wa kambo anamrithi MAMA YAKE MZAZI na sio baba wa kambo. Sehemu ya urithi atakayopata mama ndiyo atamgawia mwanaye huyo...
Tema mate chini !Sikio la kenge halisikii mpaka litoke damu,
Ushaambiwa usioe singo maza..we ukaleta ujuaji,haya kula jeuri yako sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilidhani mali alizokuta mke hana haki nazo, unless iwe imeandikwa. Mtoto wa kambo kisheria hana haki na mali za baba wa kufikia, unless huyo baba awe ametoa will au mama ampe mwanae mali atakazopata toka kwa mumewe.
Hili swali mi pia huwa najiuliza sana,humu labda ntapata majibuHiyo haki mke anayo kisheria au hayo ni maoni yako kutokana na uelewa wako?
Na wanaume vipi tuna haki na Mali ambazo wake zetu wamerithishwa na wazazi wao?
Kuhusu mtoto wa kambo najua hana haki. Mke sijui , Kama ni hivyo sawaaMimi nilidhani mali alizokuta mke hana haki nazo, unless iwe imeandikwa. Mtoto wa kambo kisheria hana haki na mali za baba wa kufikia, unless huyo baba awe ametoa will au mama ampe mwanae mali atakazopata toka kwa mumewe.
Hapa naona mmpeana majibu kiaina,japo hujasema kama jamaa anatoa matunzo.Najibu hapo mwisho kwenye mchango wa mwanamke. Mke wako ana haki na mali zako hata kama amezikuta.. mchango wake sio lazima uwe pesa..Kama anatekeleza majukumu ya kulea familia na kukutunza huo ni mchango tosha. Haki anayo kama hajakiuka mambo mengine ya mahusiano yenu.
Kuhusu mtoto wa kambo subiri wanasheria wabobezi waje. Ila mtoto kufahamu baba yake mzazi ni Jambo la kheri..sema bidada kakiuka makubaliano yenu...
Huwezi kuwa na haki nazo mkuu kwa maana sheria ya ndo ina ruhusu umiliki wa mali binafsi kabla ya kufunga ndoa