sunv
Member
- May 19, 2020
- 44
- 32
Kuna msala aliwahi kupata mtu wangu wa karibu alibainika kuwa amembebesha mimba mwanafunzi.
Baada ya kutajwa alitimka na familia yake iliwajibishwa kulipa kiasi Cha TZS 7,400,000/= kama fidia.
Mtoto alipozaliwa kijana aliamua kurejea na kuanza process za kupima DNA kwa sababu aliamini fika kuwa mimba ile haikua yake kwani msichana huyo alikua akigawa mbususu kwa kila mtu[emoji3].
Majibu yametoka ni kweli mtoto huyo si wa kwake.
Je, ana uwezo wa kufungua kesi ili naye alipwe fidia kama ilivyofanyiwa familia yake?