CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
Mbona hawaji hawa wanasheria?Ngoja waje kukupa muongozo.
So aendelee na mishe zake tu Mkuu?Utoro sinahakika Kama unavumilika
Mbona hawaji hawa wanasheria?
Jamaa ananisumbua na mimi nimejifanya mtaalam wa sheria kwakutegemea JF.
[emoji23][emoji23][emoji23]not to that extent bana. Mi nimetegemea wataalam wa sheria hapa. Mbaya ni kuacha kumtegemea Mungu na kumtegemea mwanadamu kwa kiwango cha kumuabudu.[emoji23][emoji23][emoji23]alaaniwe amtegemeaye mwanadamu
Kasome kanuni za utumishi wa umma...halafu why always its all about teachers..mna nini nyie watu..kila siku kulalamika na kulialia no wonder hata serikali imewapuuza...kwanza ndio mnaongoza kuwa na kadi za chama na kujikombakomba...poor you.[emoji23][emoji23][emoji23]not to that extent bana. Mi nimetegemea wataalam wa sheria hapa. Mbaya ni kuacha kumtegemea Mungu na kumtegemea mwanadamu kwa kiwango cha kumuabudu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee unajua wapo wengi sana humu. Usiwasagie kunguni kiasi hicho.Kasome kanuni za utumishi wa umma...halafu why always its all about teachers..mna nini nyie watu..kila siku kulalamika na kulialia no wonder hata serikali imewapuuza...kwanza ndio mnaongoza kuwa na kadi za chama na kujikombakomba...poor you.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app