Je mtu mnene atajuaje kuwa ana hernia ???

E52

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
81
Reaction score
14
Wakuu naomba kujua mtu mnene atajauaje kama ana hernia kwa vile uvimbe hauonekani kutokana na belly fat.....je ni kipimo gani mtu anaweza kupima akajua kuwa ana hernia.....
 
Doctors know where to look. Ndo maana wakapelekwa shule. Kuna vitu unaweza kuelekezwa ukavifanya lakini vingine duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…