Je, mtu mweusi anaweza akamuongezea damu mzungu and vice versa?

Je, mtu mweusi anaweza akamuongezea damu mzungu and vice versa?

Richard R Monyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
242
Reaction score
265
Je, makundi ya damu kati ya mtu mweusi(mwenye asili ya Africa) na mzungu au mtu wa race nyingine yataendana tunaweza kuongezeana damu?

Na kama jibu ni NDIO kwanini bado kuna ubaguzi kwa watu weusi?

white-and-black-preschool-girls11.jpg


IMG_20180507_140545_565.jpg
 
Madaktari waje hapa tujifunze kitu
 
Blood Transfusion,ili ifanyike lazima Donor (Mtoaji) awe compatible na Recipient (Mpokeaji) groupwise . Chembe Chembe za Rangi hazihusiki. Mzungu anaweza kumchangia damu Mtu mweusi na Mtu mweusi Anaweza kumchangia damu Mzungu as long as their blood groups are compatible .
 
Inawezekana kwakua binadamu wote tuko moja wapo ya makundi manne ya damu A,B,AB na 0 ubakuguzi ni tabia tu
 
dah!swali fikirishi sana!!!jibu ni kuwa inawezekana but wazungu hawaitaki damu ya black wakiamini kuwa ni damu yenye laana,udumavu Wa akili na magonjwa mengi!!
 
Acha ushamba mkuu...kwani mzungu ana damu ya njano......
 
JE ALBINO ANAWEZA KUMUONGEZEA DAMU ASIYE ALBINO? JE HAITALETA SHIDA HAPO BAADAE KWA ASIYEKUWA ALBINO KUPATA MTOTO ALBINO KWENYE UZAZI WAKE UJAO?
Hilo swali la mleta uzi linajulikana zamani tu, je hili swali naomba jibu tafadhali

Iwapo imetokea ajali nikaumia vibaya sana ila damu yangu ikamatch exactly na ya albino je wataniongezea yake? Haitaniletea effects siku za usoni especially kwenye reproduction? Kama hawataniongezea je wataniacha nife kwa kukosa damu ilihali kuna albino namatch nae?
 
Wewe unasema damu, wakati kuna Wazungu wananunua figo za watu weusi huko Haiti kila siku na kuzitumia kwa ndugu zao.

Binadamu wote tuko sawa tu, tofauti ni muonekano wa nje basi.
 
Kwa sisi wazee wa zamani hili swali itakuwa inakukumbusha kitabu cha drs la 3 kuna hadithi ya Brown ashika tama.
Km umesoma utapata jibu la swali hili.
 
Hilo swali la mleta uzi linajulikana zamani tu, je hili swali naomba jibu tafadhali

Iwapo imetokea ajali nikaumia vibaya sana ila damu yangu ikamatch exactly na ya albino je wataniongezea yake? Haitaniletea effects siku za usoni especially kwenye reproduction? Kama hawataniongezea je wataniacha nife kwa kukosa damu ilihali kuna albino namatchnae?

mh!nafkir hata kama ni ya albino utaongezewa tu but sina uhakika kama haitaleta effects kwenye reproduction!
 
Back
Top Bottom