Richard R Monyo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 242
- 265
TunawasubiriMadaktari waje hapa tujifunze kitu
Sawa chiefAnaweza
GreatHili la nje ni kama gamba tu huko ndani tuko sawa kila kitu...
Ni kweli kabisatatizo sio rangi mkuu, ishu ni kuwa na group zinazoendana
Hilo swali la mleta uzi linajulikana zamani tu, je hili swali naomba jibu tafadhaliJE ALBINO ANAWEZA KUMUONGEZEA DAMU ASIYE ALBINO? JE HAITALETA SHIDA HAPO BAADAE KWA ASIYEKUWA ALBINO KUPATA MTOTO ALBINO KWENYE UZAZI WAKE UJAO?
Hilo swali la mleta uzi linajulikana zamani tu, je hili swali naomba jibu tafadhali
Iwapo imetokea ajali nikaumia vibaya sana ila damu yangu ikamatch exactly na ya albino je wataniongezea yake? Haitaniletea effects siku za usoni especially kwenye reproduction? Kama hawataniongezea je wataniacha nife kwa kukosa damu ilihali kuna albino namatchnae?