Je, mtu mweusi anaweza akamuongezea damu mzungu and vice versa?

Mtoa uzi ngoja tuelimishane kitu
1.Hakuna mtu mweusi duniani wala mweupe,najua utabisha ila fahamu kwamba ukijikubali wewe ni mweusi halafu mzungu mweupe ujue bado unaukubali utumwa,hayo ni maneno ya kitumwa.
2.Suala la damu kutoa hilo linafanyika isipokuwa mtoaji na mtolewaji wote wanatakiwa blood group ziendane na vigezo vingine vya kitabibu vizingatiwe.
3.Binadamu wote ni sawa,isipokuwa tunatofautiana uelewa katika mambo ya kimsingi
 
Japo inawezekana.
Sijui kuna ugumu gani kupata damu ya mzungu..
Maana nimeskia nchi ikipokea misaada ya vifaa tiba,madawa chanjo kinga n.k na fedha kwaajili ya ku support wizara ya Afya.
Ila kupokea msaada wa damu ...hiyo tangu sijaota ndevu mpaka nimeota sijaskiaga msaada wa Damu.
Kwa hisani ya watu wa Ng'ambo.
 
Ina maana hamjui magroup ya damu?

Ina maana nyie wote ni darasa la saba??
 
je ukitokea kuongezewa damu na albino(zeru zeru) unaweza pata chembe chembe ndani yako za albinism
 
ni sawa na kuuliza kama mwanamke aliye jipaka yale mafuta akawa mweupeeeeeee sana kama anaweza akakuongezea damu maana naye ni mweupe kama mzungu
 
Kama damu nazo zina rangi tofauti basi haiwezekani. Lakini ikiwa zote zina magroup na sifa zilezile, inawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…