mkali kwanza
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,301
- 1,181
Mtoa uzi ngoja tuelimishane kitu
1.Hakuna mtu mweusi duniani wala mweupe,najua utabisha ila fahamu kwamba ukijikubali wewe ni mweusi halafu mzungu mweupe ujue bado unaukubali utumwa,hayo ni maneno ya kitumwa.
2.Suala la damu kutoa hilo linafanyika isipokuwa mtoaji na mtolewaji wote wanatakiwa blood group ziendane na vigezo vingine vya kitabibu vizingatiwe.
3.Binadamu wote ni sawa,isipokuwa tunatofautiana uelewa katika mambo ya kimsingi