Jeinjei Member Joined May 14, 2014 Posts 38 Reaction score 82 Mar 9, 2016 #1 Nimetokea kuipenda sana kazi ya tour guiding, sijasoma course yoyote kuhusu hiki kitu ila nina dhamira ya dhati ya kufanya kazi hii. Naombeni mwongozo wenu kwa mnaoifahamu kazi hii vizuri...
Nimetokea kuipenda sana kazi ya tour guiding, sijasoma course yoyote kuhusu hiki kitu ila nina dhamira ya dhati ya kufanya kazi hii. Naombeni mwongozo wenu kwa mnaoifahamu kazi hii vizuri...
Michael Paul JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 403 Reaction score 319 Mar 9, 2016 #2 Mtu yoyote anaweza kuwa chochote kama ataamini anaweza na kuweka juhudi.