Je Mtume paulo anamaana gani anaposema alitahiriwa siku ya 8, mtu wa taifa la Israeli kutoka kabila ya benyamini na ni mwebrania wa waebrania?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Wafilipi 3:5 Nalitahiriwa siku ya nane, ni mtu wa taifa la Israeli, wa kabila ya Benyamini, Mwebrania wa Waebrania, kwa habari ya kuishika torati, ni Farisayo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…