Je muda upo?
Mara nyingi tumekuwa tunafanya Mambo yetu kana kwamba tuna muda mwingi sana. kwamba kesho nayo ni siku, lahasha hilo ni kosa kubwa tunalo lifanya. iwe umeajiriwa, umejiajiri au unafurahi kuwa makini na jinsi unavyo tumia muda wako ni moja Kati ya Mambo yanayoweza kukupelekea kufanikiwa au kutofanikiwa kwa lengo lako.
Haya ni baathi ya mambo yanayo changia kupoteza muda;
kukimbia changamoto; iwe isiwe changamoto katika maisha azikwepeki hata kidogo utakimbia hili linakuja hili na changamoto ni njia nzuri ya kukufanya kuwa bora penda kuzitatuwa changamoto zako.
kutumia vibaya mitandao ya kijamii: hii imekuwa changamoto kubwa sana kwa miaka ya sasa kwa baathi ya watumiaji wa vishkwambi hutumia pasipo kuwa na malengo mathubuti.
Kuwa sahihi muda wote; wale wasiokosea hata mara moja ni wale wasio penda kujaribu kufanya jambo lolote. kuonekana umefanya makosa mbele za watu ni kitu kinacho tishautambulisho wako kwa watu ndio maana watu wanachukulia kufanya makosa Kama jambo la ajabu.
Reference
Redio kicheko live 91.1
Nakala mbalimbali

Upvote
2