Kwahiyo mkuu mwanamke amesaidia sana kuuleta Uislam dunian!? Kumbe mtume mwenyewe alishasema ni shetani.!?alipofika kwa mkewe, alimwambia kuwa ametokewa na shetwani aliyembana koo, mkewe alivyomwona ana hofu ndipo alipompeleka kwa binamu yake
Mara nyingi watu wenye mapepo huwa wanapigwa roba kali na pepo(spirits) wachafu mkuu.Malaika gani anapiga roba kali 🤣🤣huku anakuambia soma ww ...
Hill swali ni muhimu sana, MTU mzima wa miaka zaidi ya 40, unaenda kwenye mapango kufanya nini ?Mimi nauliza swali sincerely kabisa, je huko kwenye pango alifuata nini?
Mimi nauliza swali sincerely kabisa, je huko kwenye pango alifuata nini?
Alikuwa anaota yupo pangoni!?Mimi nauliza swali sincerely kabisa, je huko kwenye pango alifuata nini?
Labda kuabudu mizimu(gods) kwa kipindi hicho.Hill swali ni muhimu sana, MTU mzima wa miaka zaidi ya 40, unaenda kwenye mapango kufanya nini ?
Kumbe Muhammad mwanzoni kabisa alikiri kuwa alitokewa na jinn!?Cover me, cover me!" because he was trembling and believed he might be possessed by a jinn (demon) or that he was becoming a mad poet.
Tukio la watu kukabwa koo na pepo wachafu limekuwa likisimuliwa hata katika maisha ya kila siku, ambapo wengine hudai kushuhudia watu wakipatwa na hali hiyo na kuteseka sana. Je, kwa mtume wa Mungu, inawezekana tukio hilo lilikuwa la kipekee labda likihusishwa na malaika?Mambo ya imani huwa sifatili lakini katika normal sense Malaika kwenye vitabu vya dini anaandikwa kama sign of peace.
Sii rahisi afike kwa mtume wa mungu amkabe kiasi hicho huku akimshurutisha kusoma. M
Zambi ndo nini?😁
Kwahiyo mliuliza swali ili tuwafahamishe au kejeli?
Sasa hizi kejeli zako zinasaidia nini katika iman ambayo huamini?
Wewe endelea kuamini tu kuwa mungu wako aligongwa misumari na wayahudi ili usiwe na zambi hata ukizini.
Muddy alikuwa kilaza. Hajui A wala B. Halafu allah akaona Muddy anavyosema hajui kusoma anadanganya? Akamkaba nusra kumuua. Alipoona kweli anataka kata roho na hasomi akaamini jamaa si mwongo. Muddy akatoka pangoni kama kichaa. Mkewe ndo akamwambia ampeleke kwa Mjomba wake mganga. Akamwambia JIBASHIRIE UTUME. Na akaja kufa kwa Ngoma sababu ya Umalaya😁
Kwahiyo mliuliza swali ili tuwafahamishe au kejeli?
Sasa hizi kejeli zako zinasaidia nini katika iman ambayo huamini?
Wewe endelea kuamini tu kuwa mungu wako aligongwa misumari na wayahudi ili usiwe na zambi hata ukizini.
Ingekuwa na amani kwa sehemu kubwaKwahiyo malaika/shetani alitaka kutoa roho yake!? Hii ingetokea unadhani dunia ya sasa ingekuwa katika hali gani bila Uislamu!?
Mimi nauliza swali sincerely kabisa, je huko kwenye pango alifuata nini?