Je, Mungu ana dini?

Mkuu kama namuona Musa,Yusufu,Daudi,Solomon, na walee aah nimesahau majina yao wakiomba huku wakisema katika jinaLa Yesu ibilisi toka hah hah hah hah .
 
Pekee yao wenye akili kubwa huamini hakukuwepo na dini kabla ya Ukristo na Uislamu na wanaamini dini za kweli ni hizo tu ndo mana hata katika majadiliano hawahusishi dini zingine.
 
1. Sasa mkuu huu UISLAM unaojaribu kuuelezea hapa mbona ulichelewa kupata KICK ilihali ulianza way back from Adam.

2. Kwa mujibu ya quran kwenye vifungu ulivyoeleza hapo juu kuna sehemu umesema dini ya haki kwa Mungu ni uislam. Ila bado hajatosha kuonesha wala kujibu swali la mleta mada Mungu ni dini gani?
 
Kwa ufupi kila dini ina mungu wake

Mungu wa waisilamu anaitwa allah mkuu wa ulimwengu,
Lakin biblia inadai mkuu wa ulimwengu huu ni ibilis na muda ukiwadia atatupwa kuzimu

Mungu wa wakristo anaitwa bwana mwanzo na mwisho

Kwahiyo kila dini ina mungu wake hata mbingu zao ziko tofaut sana

Mungu wa kwenye quran katika mbingu yake kaaihid wanawake sabin na mbili ambao ni mabikira na kaahid mito ya pombe

Mungu wa kwenye biblia kasema walevi na wazinzi hawatauona ufalume wa mungu,

Lakin yeye katika mbingu yake kaahidi kusifu na kuabudu pamoja na malaika hakuna kuoa wala kuolewa, hakuna kunywa pombe wa matapu tapu na hana mito ya pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…