well said.Kuwa nadhifu ni moja vitu wanawake wanavutiwa sana kutoka kwa mwanaume,na kama unajua kupangilia nguo ndo kabisa.pia anapotembea na MTU wa aina hyo au kuongozana ujiamini sana.unadhifu huficha udhaifu wa mtu.
Inategemea kama watu wamekutana ktk hali hyo si dhani itakuwa shida ila kama mmoja hakuwa ktk hali hyo halafu kuanza kupendeza lzma wivu ukupate maana ni laazizi wako.ila kuna wanawake wanapenda mwanaume kuvaa pensi au kaptula yan wanapagawa na inapendeza mpenzi wako ndo awe anakupangia vazi maana unapendeza kwa ajiri yke .maana hata ukipata sifa utasikia hyu mume/mke au mpenzi wako Fulani.well said.
na je utanashati au urembo unaweza kuongeza wivu baina na wapenzi wawili?
asanteh na shukrani kwa mchango wako.Inategemea kama watu wamekutana ktk hali hyo si dhani itakuwa shida ila kama mmoja hakuwa ktk hali hyo halafu kuanza kupendeza lzma wivu ukupate maana ni laazizi wako.ila kuna wanawake wanapenda mwanaume kuvaa pensi au kaptula yan wanapagawa na inapendeza mpenzi wako ndo awe anakupangia vazi maana unapendeza kwa ajiri yke .maana hata ukipata sifa utasikia hyu mume/mke au mpenzi wako Fulani.
itakuauna aleji nazo?
Kwani hujawahi kumpata??Sipati picha kukutana na mwanaume msafiii ananukiaaaa raha sana!