Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Twende straight to the point, bila kuzingatia waliyosaini huko Mkataba.
Swali nataka kujua, ikiwa leo DP World wamesaini Mkataba na Mbarawa kama Waziri wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Sasa ikitokea Muungano ukavunjika na Mbarawa kurudi zake kwao Zanzibar. je, Makataba wa DP world utabaki Tanganyika au utamfuata Mabarawa huko Zanzibar au Mkataba nao utakuwa umekufa?
Tafadhali wajuvi tupatieni elimu hapa.