Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Muungano wa kitapeli uvunjweTwende straight to the point, bila kuzingatia waliyosaini huko Mkataba.
Swali nataka kujua, ikiwa leo DP World wamesaini Mkataba na Mbarawa kama Waziri wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Sasa ikitokea Muungano ukavunjika na Mbarawa kurudi zake kwao Zanzibar. je, Makataba wa DP world utabaki Tanganyika au utamfuata Mabarawa huko Zanzibar au Mkataba nao utakuwa umekufa?
Tafadhali wajuvi tupatieni elimu hapa.
muungano ukifa mwarabu anatakiwa kutembea kwa mguu toka bongolala hadi dubai, atalandalanda juu ya maji. kwasababu Tanzania aliyoingia nayo makubaliano itakuwa imededi, na Tanganyika imezaliwa ambayo hakuingia nayo makubaliano. wengine wanasema pengine huu ni mpango wa Mungu Tanganyika iibuke kwa kupitia DP WORLD.Twende straight to the point, bila kuzingatia waliyosaini huko Mkataba.
Swali nataka kujua, ikiwa leo DP World wamesaini Mkataba na Mbarawa kama Waziri wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Sasa ikitokea Muungano ukavunjika na Mbarawa kurudi zake kwao Zanzibar. je, Makataba wa DP world utabaki Tanganyika au utamfuata Mabarawa huko Zanzibar au Mkataba nao utakuwa umekufa?
Tafadhali wajuvi tupatieni elimu hapa.
Mkataba utaishiTwende straight to the point, bila kuzingatia waliyosaini huko Mkataba.