Je, mwaka huu hakuna Simba Day?

Kajeba

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2020
Posts
1,057
Reaction score
2,364
Habari wakuu,

Imezoeeleka miaka yote simba hufungua msimu na tukio babkubwa la simba day.

Mwaka huu sijasikia kitu kuhusiana na simba day, je simba day haipo mwaka huu?
 
Kwa mujibu wa tafiti ni moja ya vitu vilivyomfanya Manara awe maarufu kuliko Boss kubwa..ngoja tusikie boss anasemaje!
 
Simba day ni siku moja tu, haiwezi kukosekana.
 
Habari wakuu
Imezoeeleka miaka yote simba hufungua msimu na tukio babkubwa la simba day

mwaka huu sijasikia kitu kuhusiana na simba day, je simba day haipo mwaka huu
Mkuu bora usiseme utamwagiwa mineno ya shombo na wenyewe mpaka ujikinai.
 
ilitakiwa shamrashamra ziwe zimeanza lakini kamya
Kwann? Kwani hiyo harusi kwamba ziundwe kamati, then vikao, send-off na hatimae harusi. Vuta subira mkuu.
 
Kwani Manara jana alisemaje kuhusu simba day alivyompost Kanjibai akiwa na dayamondi?
 
Ratiba ya msimu huu imebana sana, Labda watumie ile wiki ya kwanza ya September.

Simba day hata isipofanyika ni sawa tu.

August hii Kuna pre season pia kuna mechi 2 za timu ya Taifa, halafu wiki ya pili Setember mechi za CAF round ya kwanza zinaanza.
 
Habari wakuu
Imezoeeleka miaka yote simba hufungua msimu na tukio babkubwa la simba day

mwaka huu sijasikia kitu kuhusiana na simba day, je simba day haipo mwaka huu
Kwani siku ya wananchi ni lini?
 
Simba Day inaweza kuwa September 3/4 kwasababu ratiba ya CAF iko hivi

ratiba haikuwa rafiki Tff na bodi ya ligi ikiwezekana watafute watu nje yao awasaidie kupanga ratiba ya ligi
 
Habari wakuu,

Imezoeeleka miaka yote simba hufungua msimu na tukio babkubwa la simba day.

Mwaka huu sijasikia kitu kuhusiana na simba day, je simba day haipo mwaka huu?
Acha tuone itakavyokuwa. Ila naamini itakuepo maana msimu huu utachelewa kuanza hivyo ratiba zitasogea mbele acha waende kambi ya wiki 2 afu wakirudi utapenda
 
Acha tuone itakavyokuwa. Ila naamini itakuepo maana msimu huu utachelewa kuanza hivyo ratiba zitasogea mbele acha waende kambi ya wiki 2 afu wakirudi utapenda
watupe taarifa sasa maana ilizoeleka kila 8 August
 
Ni wazi kuwa zile amsha amsha za Manara wana msimbazi tutazimiss sanaaaaa,,
Ok, tunabaki kusubiri matokeo ya uwanjani.
Ila aliyeweza kufanikisha huyu bundi kutua msimbazi,,, alaaniwe sana.

Kusema kweli, bila Manara Simba tumepwaya.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…