Je mwaka huu umejiandaa kuwa tajiri

Je mwaka huu umejiandaa kuwa tajiri

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari zenu wana jf.Hili ni jukwaa langu ninalolipenda sana hapa ni kama nyumbani.Baada ya mwaka2017 kuisha kwa mafanikio makubwa kwangu kupitia assets zangu mbalimbali huu mwaka lazima nipige step zingine Mbele.Malengo yangu ya mwaka huu lazima niwe millionaire usisahau(you are by product of your thought) and unaweza kujuwa future ya mtu through maneno yake,ukisema wewe utakuwa masikini basi unabii unanitimia unakuwa masikini kweli.My slogan is Words from thoughts,thoughts from reality and reality become life.So tunapojiwekea malengo ya mwaka huu lazima tuweke malengo makubwa ili kujituma kwa bidii.
The code of the world is only fittest shall rule.
14a1a2166d78f11585147bc058e0a6b1.jpg
 
Hua siamini katika kuishi kutokana na quotes, hata kidogo.
 
Hua siamini katika kuishi kutokana na quotes, hata kidogo.
Na ndio ilivyo sio kila kitu sahihi kitaaminiwa watu wengi walofanikiwa wanaamini katika quotes sasa mpaka wengine wanatengeneza quotes zao mfano tu wa quote

Never give up in life

Sasa utasema vipi uwezi kuishi katika quote kama hiyo
 
Una spirit mzuri jamaa nimeweza kuitambua spirit yako ya mafanikio kwakuangalia maelezo yako mikubwa zaidi iyo picha uloweka utafanikiwa mkuu tuombe mungu tuendelee kuwa na spirit hivi hivi mpaka kieleweke
 
Mi kila mwaka najianda...
hilo ndo hvo tu walimwengu shidaa
 
Na ndio ilivyo sio kila kitu sahihi kitaaminiwa watu wengi walofanikiwa wanaamini katika quotes sasa mpaka wengine wanatengeneza quotes zao mfano tu wa quote

Never give up in life

Sasa utasema vipi uwezi kuishi katika quote kama hiyo
Nimejisema tu mimi nilivyo sijamaanisha kua wanaokua motivated na quotes hawapo
 
Back
Top Bottom